[ti:Mtafute] [ar:Janet Otieno] [al:Mtafute] [by:MusixMatch] [00:12.91]Ni wee [00:14.57]Oh Yesu (Ni wee) [00:19.29]Mhm (Ni we×2) [00:22.99]Hufananishwi na yote yule [00:26.09]Wewe ni wa kipekee [00:28.62]Kifo na mauti ukapiga teke wewe ni wa kipekee [00:32.23]Dunia nzima [00:35.38]Umetukuka kwote [00:37.25]Dunia nzima [00:39.65]Umetukuka kwote [00:42.00]Sasa sina mwingine ila (ni wee) [00:46.29]Kimbilio, tegemeo langu (ni wee) [00:51.12]Ni mtazamie nani ila (ni wee) [00:53.88]Yesu (ni wee), Baba (ni wee) [00:57.45]Mungu anainuwa watu wote ehh [01:04.52]Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4... [01:19.16]♪ [01:29.11]... Kila siku tuko mbiyoni [01:32.02]Tukitafuta maisha bora [01:34.09]Tunasahau kutafuta Mungu ni bora [01:38.17]Utafuteni [01:41.95]Ufalme wa Mungu kwanza [01:44.84]Hayo mengine [01:48.11]Yote yatafuata [01:50.25]Heyyy huina mwingine ila (ni yee) [01:52.10]Kimbilio, tegemeo lako (ni yee) [01:55.18]Umtazamie nani ila (ni yee) [01:58.16]Yesu (ni yee), Baba (ni yee) [02:02.88]Yeiyeh eiyeh iyehh [02:05.34]Mungu anainuwa watu wote ehh [02:10.38]Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4... [02:27.22]♪ [02:36.72]Yeye pekee [02:39.45]Hatuna mwingine×2 No×3 [02:44.39]♪ [02:48.26]Oh Yesu [02:50.41]Mhm [02:55.85]Wewe hah wewe yah weweihh [03:00.15]Mungu anainuwa watu wote ehh [03:05.23]Anaangalia ndani ya roho yako ohh×2 Mtafute×4... [03:16.27]♪ [03:31.38]Ohhh, Mtafute [03:35.94]Mtafute. Mtafute ehhh [03:40.50]