﻿[ti:Tile]
[ar:Alikiba]
[al:Tile]
[by:MusixMatch]
[00:04.22]Yeeahhh
[00:05.81]Ye Baba
[00:07.77]♪
[00:16.56]Nilisimama kwa mbali
[00:17.86]Tile nikaona hutanikumbuka
[00:20.45]Vile nilivyo badilika aah
[00:22.71]Nitaku abisha-aaah
[00:25.27]Nilivyokua mwanzo
[00:27.02]Na wee ukanitafuta
[00:29.29]Pesa nyingi nilishika-ahh
[00:31.13]Leo nadhalilika
[00:33.72]Ni miaka mingi
[00:35.67]Hata ukini tathimini
[00:38.09]Hali yangu si thamani
[00:41.80]Inaonesha
[00:42.81]Sinalo tena
[00:44.72]Walinitenda si vyema leo
[00:47.12]Hata pakushika-ahh
[00:49.40]Sina
[00:51.39]Hata Musa aliomba sana
[00:52.86]Mola akamvusha bahari, Tile
[00:55.86]Hata mimi niliomba sana Mola
[00:57.84]Nikutane na wee tena Tile
[01:00.41]Tile
[01:01.67]Oh Tile
[01:03.91]Oooh-ooh
[01:06.12]Niokoee
[01:08.74]Natapatapa
[01:10.74]Oh Tilee yoo
[01:13.41]Tile mahelaa
[01:15.95]Tile-ee (oh-ooh)
[01:19.20]♪
[01:35.48]Usiogope Tile
[01:37.33]Tile mini mpole sana
[01:39.16]Hata kipindi tuna raha
[01:40.85]Unalala nikikuimbia-aah
[01:44.49]Eti simba
[01:45.72]Simba sifa simba analiwa
[01:47.66]Simba anafugwa Tile simba
[01:49.57]Anazaa bado anazaliwa simba
[01:52.45]Nimekumiss sana toka tumeachana
[01:56.96]Mpaka nimepungua Tile
[01:59.30]Kwa kufikiria
[02:01.47]Sasa tema mate (tema matee)
[02:03.43]Ya nyuma yapite
[02:05.70]Tukate utepe
[02:08.47]Na tuanze upya tena ilaa
[02:10.65]Hata Musa aliomba sana
[02:12.22]Mola akamvusha bahari Tile
[02:14.40]Hata mimi niliomba sana Mola
[02:16.75]Nikutane na wee tena Tile
[02:19.31]Tile
[02:21.37]Oh Tile
[02:22.91]Oooh-ooh
[02:25.56]Niokoee
[02:27.19]Natapatapa
[02:29.79]Oh Tilee yoo
[02:32.07]Tile mahelaa
[02:34.50]Tile-ee (oh-ooh)
[02:40.03]
