[ti:Hongo Ya Karao - Vol. 2] [ar:Toxic Lyrikali] [al:Hongo Ya Karao (Vol. 2)] [by:MusixMatch] Uuuwu Hongo-hongo-hongo-hongo ya karao siku hizi ni ki-thao Na kwa pori ni ki-mbao Pole mkubwa si-si-si madharau ah, nakivuta ndio angalau Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao ABH Sound baby Ndio kutoka reggae panguza rusha na luku wembe Na-avoid tu maboyz in blue hao ni masenge Ni challenge juu si ni shamba hao ni majembe Sijai sundwa na nachafua jiweke Narada njege anadai niko gang affiliated Massage mrazi na knuckles ikuwe message Hatuogopi shit fully bad tangu ancient times Mentor wangu akiwa maziwa sikuwa nang'am anachai Under the influence wanadhani hatuezi thrive Si maganji pekee inafanya nismile Juu ya D boy mzuri mashawty wakinidefine Nikivuta line, haezi decline Sijai kubali kijana anizoee Kabla nianze jaba naеkanga defence Kuna dеal nangoja iivane nieke meno fence Kuna keki ananitrace pesa yake ndio tunaspend We not police but tutaje ukiwa na ngori Utamu ya ngusu inaanzianga kwa nyongi Sijaijifanyia mtihani sina issue wakicopy We nikanje shida ilinileta Nairobi Hii ni top caliber, Eastside hooligan Naingia na madoido so sikosangi pararira Assets zishafika, kwa wenye wanauliza Vitu hazijatumika sana na bei ni ya kutupa Mkwanja kwanza, assets ya mkono wa pili Pole kwa mwili nikishabag ma-milli' Life we living kwa jungle ya simiti Hii ni rare ka rangi mpya Kamiti Juu haijai kuwa rahisi Naeza ingia kwako na teke ka' polisi Silali njaa ni nyi mtalala chini Tuko hunting, kicheko ya fisi Hongo ya karao siku hizi ni ki-thao Na kwa pori ni ki-mbao Pole mkubwa si-si-si madharau ah, nakivuta ndio angalau Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Yeah, mũkũrũ alikuwa ananisomea, si yeye nasomea Sa hakuna venye mbleina anamea Kijana utanipea ama ujue mara haina spare Si kupenda, ni hali utanisamehea Niko na confidence, kama suicide bomber Caution juu ya deni naeza kutorture Slaughter before kudeliver product Party ni ya ghetto na sisi ndio masponsor Reminder we haffi bad everyday Naeza sponyo party na nikose kuparticipate Underate si ni warena hadi ukihydrate Ukionekana njege watajua navigate Hongo ya karao siku hizi ni ki-thao Na kwa pori ni ki-mbao Pole mkubwa si-si-si madharau ah, nakivuta ndio angalau Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondekee hizo-hizo-hizo swara zao Niondokee hizo swara zao