[ti:TAMU SANA] [ar:Otile Brown] [al:TAMU SANA] [by:MusixMatch] Tamu sana tamu sana (sema nini) She say tamu sana tamu sana hii Tamu sana tamu sana (she say give me some more) She say tamu sana tamu sana hii Da chocolate kwako ujanja sina ujanja sina Da chocolate sema mimi ujanja sina ujanja sina Da chocolate mimi kwako ujanja sina ujanja sina Da chocolate sema mimi ujanja sina ujanja sina Da chocolate Tena vanilla nikimpa hatosheki anadai rudia She'll want to see it I know you want it eh And I know that you need it eh You can't do without it eh You're crazy over it wala usipaniki Sema muda saa ngapi nije maskani Anytime you want it I'ma pull up pull up I'ma pull up pull up my girl Anytime you need me I'ma pull up pull up I'ma pull up pull up my girl For you I'ma pull up pull up I'ma pull up pull up my girl Anytime you need me I'ma pull up pull up I'ma pull up pull up for you Tamu sana tamu sana (sema nini) She say tamu sana tamu sana hii Tamu sana tamu sana (she say give me some more) She say tamu sana tamu sana hii Da chocolate kwako ujanja sina ujanja sina Da chocolate sema mimi ujanja sina ujanja sina Da chocolate mimi kwako ujanja sina ujanja sina (Sherere sherere sherere sherere ok yo baba kayla and tha't what it is) Da chocolate sema mimi ujanja sina ujanja sina Sawa kwako ujanja sinaga sina mpango wa vimada Ningesha kuonga gari ningekuonga nyumba Ila mkwanja sinaga Vile sina shida kwa diva ahah Vi vile mi napaa bila visaa ahah Katoto kanang'a kwenye giza Na macho malegevu kama kamekula wida Bae baby you are mine bila shaka Kwa huo utamu mi nadata (basi nipe yote) Sema kitu gani unataka kwangu mambo fulani utapata (hadi uyachoke) Ni nisha zima taa niko room njoo unipe raha nikuchum Don't be scared usije nikataa ninywe sumu Hakili zikapaa nile ndum Basi don't fear Tamu sana tamu sana (sema nini) She say tamu sana tamu sana hii Tamu sana tamu sana (she say give me some more) She say tamu sana tamu sana hii Da chocolate kwako ujanja sina ujanja sina Da chocolate sema mimi ujanja sina ujanja sina Da chocolate mimi kwako ujanja sina ujanja sina Da chocolate sema mimi ujanja sina ujanja sina