[ti:Mimi Na Wewe] [ar:JADI] [al:Mimi Na Wewe] [by:MusixMatch] Oh, uh ooh Eiyy, yeah Sema Mtoto mrembo na lightskin uno ni wema Huwo wako uliujaza, moyoni tena How you love me, siwezi eleza mama aah aaah Siwezi eleza mama aah Umeniteka ndio maana sitaki kwenda Ndicho kitu sitaki kutenda hela Tupate tukose me nitakupenda Umeniweza ndio maana nasema Ukienda, nitaenda aah Ukisonga, nitasongaa aah Ukienda, ntaendaa aah Ukisonga, nitasongaa aah Mimi na wewe Nawe eeh Mimi na wewe Nawe eeh (Ricky beats on this) (woah, oh) Najua baby Tukitoa mali kwenye hesabu, oh Tutajipata, Upendo wetu bado unang'aa Unasimama Mtoto mzuri tazama, tazama Tazama wanifanya ninawaza Na tena tabasamu inang'aa Fahamu jinsi mimi wanifaa Mtoto mzuri tazama, tazama Tazama wanifanya ninawaza Na tena tabasamu inang'aa Fahamu jinsi mimi wanifaa Ukienda, nitaenda aah Ukisonga, nitasongaa aah Ukienda, ntaendaa aah Ukisonga, nitasongaa aah Mimi na wewe Nawe eeh Mimi na wewe Nawe eeh Baby, nahitaji niwe kando yako (kando yako) Maana wanipa furaha ya moyo Tabia na urembo pia wa kupindukia Yanikamilisha baby Mimi na wewe eeh Nawe eeh Mimi na wewe eeh Nawe eeh, eh Eh, eh yeah Mimi na wewe Mimi na we, Mimi na we Mimi na wewe baby Yeah, yeah eh