[ti:Rise To The Challenge] [ar:Exray Taniua] [al:Rise To The Challenge] [by:MusixMatch] Ey Rise to the challenge Aki walai It's your favorite boy cash kid on the track Wacha nikushow Ni story flani inaniwasha nikushow December flani nilikuwa kwa show Haijulikani venye nilitokwa phone Ericko na Pamela walikuwa Combination sumu mnajua Wakaniibia simu niko sure Nikanunua ya kishua Hawajui bado ndovu ni kuu, (aaai bro) Vile me hutembea na kitu kuu (aaai bro) Ka ni simu nilinunua kuu, (mmmh pro) Wakie kiwaru vile sa me niko juu Hawanijui Simama imara Wasikudim waonyeshe ishara We ndio bezinga waambie kinara Si ni kuwin hatujui maswara Ah Aki walai Wakiuliza ni akina nani Ni akina nani aki ya nani ah ah si walai Wakiuliza ni akina nani Ni akina nani aki ya nani ah ah si walai Washow washow washow ey Rise to the challenge Washow washow washow ey Rise to the challenge Weka pause You know I'm the baddest (aaah) Tena nina challenge Gusa nikukamate (aaah) Machizi washabambika (ey) Yaani mrembo bila filter (ey) Lazima wataitika ey (ey) Leo tunapakua Ma video tukichakatua Nabandika bandua Kwa michezo naujua Wakiuliza ni akina nani Ni akina nani aki ya nani ah ah si walai Wakiuliza ni akina nani Ni akina nani aki ya nani ah ah si walai Washow washow washow ey Rise to the challenge Washow washow washow ey Rise to the challenge Nitamatch na red si ni mi Leo ni kupatch mnafaa mdigi Sa ukicatch na si ni mabigi Tunakuzoom na ku zoom in Tenje ni series kwani ni siri Leo natokea kwanza na tuwili Tushanawiri bila wakili Eleven zote pro nani ako willing Bora ni caption ni-tag na caption Ni-tag na passion na side na fashion Hebu amkeni tunalalisha Ni sisi ndio tunatisha Wakiuliza ni akina nani Ni akina nani aki ya nani ah ah si walai Wakiuliza ni akina nani Ni akina nani aki ya nani ah ah si walai Washow washow washow ey Rise to the challenge Washow washow washow ey Rise to the challenge