[ti:Disco Matanga] [ar:Exray Taniua] [al:Disco Matanga] [by:MusixMatch] Yooh, taniua Ule mluyha wa bub yoh yoh It's Byron baby Zerro sufuri Si ndio wale hupiga tamasha kwa matanga Whiskey inamixiwa na chang'aa Ukishika dem bado unamokia kwa gwarana Na ikijipa backstage utapata tukikazana Disco (eeeh) matanga (joh) disco Ati mnasemaga, disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama Disco (eeeh) matanga (joh) disco Ati mnasemanga, disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama Entry ni madem na mamorio wanachoma Sssh ustake jua vile wanachoma Gazeti yangu ndo naona mkisoma Na iskue hapo mnapanga kunipona Tia lawama mi sinanga chuki Usijifanye mtamu na hauitangwi nyuki Bash ni official na tumepiga bila suti Hapa tabia mbaya wote wanatoa chupi John, John yes Papa Eating sugar no Papa Telling lies no Papa Open your mouth say ah ah ah Tumetoka kwa ghetto Tanakatia mangeus wa ma ghetto Tanapatiana shoulder to lean on Wakitupatia mavodo ma gino Wengine wako sad wengine wanapretend Wamefanya matanga ikae ka weekend Wamedunga ni ka wanaenda club Kwa disco matanga unaeza ona maajabu Politician anakuja kudanganya kwa matanga Na pesa Za wananchi akizuba Na marasa za wamama What a shame, what a shame Jaribuni kuheshimu disco matanga Disco (eeeh) matanga (joh) disco Ati mnasemanga disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama Disco (eeeh) matanga (joh)disco Ati mnasemanga, disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama Zzero Naishi life vimajor na favor Na give thanks to jah its my pleasure Tukiwachana mwingine nitapenda Status ma update tukidarana World boss man a ghalis Nikitokeanga kwa scene look bado huanga safi Shati white alafu luku badder safi Mabling kwa shingo utadhani nimetoka wasafi Car key,ma sssh sh easy skunking Top shatta ghetto mi hua top ranking All dem ghaldem say me dem wanting Na skuangi sufria, always got something Utaniua na sufuri hii beat moja tunairarua Kiwash and wear tunaikamua Harufu ni mbaya tushanyamba 4W 00 si ndo namba Huanga na insist mi sideal na ngati Na mix ingi whiskey na ratish Mi ni biggy mi sidance ingi kwa party Juu shingo imefreeze saa hizo chini ni mambati Baby ati siku izi umezoea mashash tu Mi unanikumbukanga primo nikichomea staffroom Umeweza utapewa venye unadai boo Mi nairowesa mpaka inapitisha curfew Hawa watoto wananijua Nilitokanga eastlando makoto zikapungua Na hio jaba bila ugoro itaniua Mi ni badman na karoro ni kambua Disco (eeeh) matanga (joh) disco Ati mnasemanga, disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama Disco (eeeh) matanga (joh) disco Ati mnasemanga, disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama Ati mamzinga mamzinga ni maflash natapika Staki joh party cup, cheki nachachisha Oya juu sioni wapishi Ni saa mbili siski harufuu ya dishi Na unacheka na nani gathe Kaa makali job hakuna we kuja na keg Hauna magwado aaah Kadekini kiasi tunaibatiza zakayo Mi hupenda madem wanakaa ka Betty kyalo Betty nakupenda naeza swear bila bible Bedroom na macandle, cheki nimekafunga Nafungua IG na bundles Disco (eeeh) matanga, (joh)disco Ati mnasemanga, disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama Disco (week) matanga (joh) disco Ati mnasemanga disco matanga Lifestyle ya kistar boy hebu tazama