Mungu wangunaanza tena Ah tena, tena Naanza tena Nipe nguvu naanza tena Ah tena, tena Naanza tena Hii ribi sandarem Baba yoo, hmm Baba Nyimbo nzuri nikutungie Baba, Baba wale iwafikie eh Uchungu wangu nikupatie, ah Dawa yangu nitafutie Ila shida zanisonga sana Wakati nakosa wa kumwambia Nimekonda sana Mawazo ya kesho we si unajua Ila shida zanisonga sana Wakati nakosa wa kumwambia Nimekonda sana Mawazo ya kesho we si unajua Mungu wangu naanza tena Ah tena, tena Naanza tena Nipe nguvu naanza tena Ah tena, tena Naanza tena Unaitwa Jehovah Jairee, Jairee Upendadalo Baba ba sina liwe Wanakuita Jehovah Jairee, jairee Upendalo Baba ba sin aliwe eh Wanakuita baba wa yatima Ume wa wajane Wanakuita baba wa yatima Wanakuita baba wa yatima Me wa wajane Wanakuita baba wa yatima Mungu wangu naanza tena Ah tena, tena Naanza tena Nipe nguvu naanza tena Ah tena, tena Naanza tena Ooho (aaah eh) Yesu wangu (aaheh) Baba yangu (aah eeh) We si unajua Roho yangu (aaah eh) Tamadio langu Mungu wangu (aah eeh) We si unajua